Unashangaa NHIF bado Veta nao wana tabia hiyo.
hivi lini maandamano ya wasomi wasio na ajira?
Unashangaa NHIF bado Veta nao wana tabia hiyo.
Wasome wamejibwetekea gawataki kukemea upupu wa serikali kwakushirikiana na wanaharakati nadhani wanasubiria nchi ikishamalizika kuuzwa ndo waanze kukemea na kutetea haki za raia
Karibu miezi miwili iliyopita watu waliitwa kufanya interview pale NHIF,lakini kilichotokea hawakuwaita wale watu wote waliofanya interview ile,badala yake waliamua kuwaita wale watu waliowahi kufanya tempo pale miaka ya nyuma.
Kilichonishangaza ni kwanini waliamua kutangaza nafasi za ajira then kuwaita watu katika usaili ili hali walikuwa na mpango wa kuwaita hao wa zamani,hawakuelewa kwamba kuna watu walitoka mbali(mikoani)kuja kufanya usaili?
Kiukweli inakatisha tamaa kabisa.
Ni hayo tu.