Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,229
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu nchini TAHLISO na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama asemewe Geofrey Kiliba amehoji uhalali wa baadhi ya wananchi wanaomtusi na kutoa lugha za fedheha kwa Viongozi wa serikali akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan, akisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu na kuwalinda Viongozi wa serikali.
Akibainisha mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar Es Salaam leo Jumatatu Agosti 18, 2025.
Akibainisha mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar Es Salaam leo Jumatatu Agosti 18, 2025.