Inawezekana hakustahili kupata tuzo lkn bado anabaki kuwa msanii anayeingiza mapato mengi kuliko wote nchini.So nafikiri dogo bado yupo juu,kumbuka alipochukua tuzo 3 mara ya kwanza 2010 then next year 2011 alikosa lkn mwaka uliofuata 2012 akachukua tena tuzo 3 na mwaka huu 2013 tuzo 1,so lets wait next year then we'll see!