Mama, nikiendelea kuandika mimi tu nitakuwa nahukumu bure. Najua walio Bongo ni usiku wa manane lakini kukicha na haswa kuanzia J3 watakufahamisheni nini kilijiri.kwani nini kimetokea, kwangu hii ni breaking news in a piece.
Mama, nikiendelea kuandika mimi tu nitakuwa nahukumu bure. Najua walio Bongo ni usiku wa manane lakini kukicha na haswa kuanzia J3 watakufahamisheni nini kilijiri.
Kifupi ni michemsho mitupu
peacock= Ilikuwa Mchemsho Nadhani Mcs Hajazoez Stage, Sababu Ni Watangazaji Wa Radio, Ingekuwa Labda Wa T.v Ingesaidia Kuwa Na Presentation Nzuri, Shughuli Yaweza Kuwa Nzuri Au Mbaya Zaidi Yategemea Na How Mcs Are
Next time mnawasusia hakuna kwenda hao waandaji ni wachemfu sana.....Kwanza walimkumbuka james Dandu muanzilishi wa awards hizi?Kweli Ilikua Mchemsho Mtupu,maandalizi Yalikua Shaghalabagala Msanii Kama Bushoke Kupata Tuzo Kwa Wimbo Usio Wake Tena Wa Mwaka 2008 Kiasi Kwamba Mpaka T.i.d Akafanya Vurugu.walichemka Waandaaji,waliwatenga Viburudisho Vya Mioyo Yetu Fm Na Acudo Je Walishindwa Hata Kufikiria Tuzo (aidha Bendi Bora Ya Kutoka Nje Ifanyayo Kazi Tz) Ili Kutowatenga Hwa Wakongo?
Mi Nliona Ubovu Mkubwa
Yaani hizi tuzo kadri siku zinavyoenda wanazidi kuboronga. Hiyo yote ni laana toka kwa Mtoto wa Dandu. kwani wanashindwa hata kumuenzi muasisi wa hizo tuzo. angekuwa hai hadi leo hii najua wasanii wa bongo wangekuwa mbali sana na tuzo zingeboreshwa zaidi.
Nampongeza sana Bushoke kwa ujasiri wake wa kuwarudishia tuzo yao - Kill Music Awards. ile tuzo mtu aliyestahili kupata ni TOP IN DAR.
Hawa kili time ni money oriented sote twawafahamu...ndio maana hata mwaliko wa sherehe walikuwa very strategic wakaandaa listi ya watu wao yaani MAFISADI wenzao wakawachangisha wakapata mihela..kibao.Jambo la kusikitisha hii award ilianzisshwa na Marehemu DANDU.sina uhakika kama walimkumbuka mke wake kwenye hafla hiyo..mliokuwepo nisaidieni kama alikuwepo au alishatupwa nje...