Kilewo: Wanaosaliti Harakati tuwageuze kuwa maadui

Kilewo: Wanaosaliti Harakati tuwageuze kuwa maadui

never

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
240
Reaction score
77
Katibu wa Chadema Dar es salaam Kuu Ndugu Henry Kilewo amenukuliwa kwenye pages zake za Mitandao ya Kijamii akisema Wanaosaliti mageuzi wageuzwe kuwa maadui,Nimeweka nukuu yake hapo, Kama members hii ikoje?
IMG_20180819_153904_295.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu wa Chadema Dar es salaam Kuu Ndugu Henry Kilewo amenukuliwa kwenye pages zake za Mitandao ya Kijamii akisema Wanaosaliti mageuzi wageuzwe kuwa maadui,Nimeweka nukuu yake hapo, Kama members hii ikoje?View attachment 841268

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie si ndio mnajiita chama cha demokrasia?? Sa inakuaje tena muwageuze maadui wanaotumia haki yao ya kuhama?? Hebu komaa kisiasa ukiona huko hapafai..karibu nyumbani maana nyumbani kumenoga
 
Kilewo haitoshi tu kutuambia tuwageuze maadui bali unapswa kujenga kudhibitisha hili ombi lako. Lakini nakushauri kwa sasa kuhama toka upinzani kwenda ccm ni fashion, hebu waacheni wote wanaotaka kuhama wahame wote kisha tuanze upya. Kumbuka ivumayo haidumu. Pangeni hoja za kiuteka jamii baada ya hii tufani kupita, ila cha kwanza ni kufanya mageuzi makubwa ndani ya cdm na kuweka misingi hasa baada ya makosa yaliyopelekea baadhi ya makosa ya sasa.
 
..sikubaliani naye.

..siasa za kuitana wasaliti hazifai.

..cdm inatakiwa kuongeza juhudi ktk kupata wanachama na wapenzi wengi zaidi kiasi kwamba hao wanaohama wasiwe na athari yoyote.
 
..sikubaliani naye.

..siasa za kuitana wasaliti hazifai.

..cdm inatakiwa kuongeza juhudi ktk kupata wanachama na wapenzi wengi zaidi kiasi kwamba hao wanaohama wasiwe na athari yoyote.
Wanachama na mashabiki wapo wengi tatizo hakuna uongozi.
Mbowe amejichokea mpaka ndevu zimekua nyeupe. Mwenyekiti Mbowe ameishiwa pumzi. Ubunifu ziro halafu eti CCM na serikali yake waache kuwakaribisha wanachama wapya na viongozi wao toka Chadema.
Kila Mtu mwenye kili timamu hawezi kuendelea kuongozwa kimabavu na kimafya na Mbowe.

Ingekua kuwa kungangania Uenyekiti ndio kukijenga chama Leo hii UDP ingekuwa na wanachama wengi nchi nzima.

Niwaombe watanzania wapenda Uhuru,demokrasia ya kweli na uwazi wajitoe Chadema mana ameshakifanya chama kuwa cha kwake na familia yake kama alivyo Cheyo na UDP.
Bora kukaa bila chama kuliko kuunga mkono Udikteta,ukatili ,matumizi mabaya ya ruzuku, uhuni ,upendeleo na vitisho vinavyofanywa na Mbowe ndani ya Chadema.

Chadema bila Mbowe inawezekana na itaeudisha imani kwa wananchi na itavutia wapenda demokrasia wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom