Mrs Byesige JF-Expert Member Joined Nov 5, 2019 Posts 2,025 Reaction score 3,962 Feb 9, 2025 #101 Ben Zen Tarot said: iyo noma tena ina hangover ya ajabu Click to expand... Hapana nakataa..haina hangover hata 1%...asbh unaamka mzimaaaa
Ben Zen Tarot said: iyo noma tena ina hangover ya ajabu Click to expand... Hapana nakataa..haina hangover hata 1%...asbh unaamka mzimaaaa
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,307 Reaction score 62,517 Feb 9, 2025 #102 GenuineMan said: Nimeshakunywa nimerudi maskani. Ila kuna demu mmoja alikuwa ananiangalia kwa kuibia sijui ananifahamu. Ameondoka na mimi nikasepa. Click to expand... Kama umeshaanza kupiga mvinyo kwa kuonja tu leo na kuanza kuona watoto wazuri, sahau kujenga mwaka huu 😀
GenuineMan said: Nimeshakunywa nimerudi maskani. Ila kuna demu mmoja alikuwa ananiangalia kwa kuibia sijui ananifahamu. Ameondoka na mimi nikasepa. Click to expand... Kama umeshaanza kupiga mvinyo kwa kuonja tu leo na kuanza kuona watoto wazuri, sahau kujenga mwaka huu 😀
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,724 Reaction score 18,157 Feb 10, 2025 Thread starter #103 Equation x said: Kama umeshaanza kupiga mvinyo kwa kuonja tu leo na kuanza kuona watoto wazuri, sahau kujenga mwaka huu 😀 Click to expand... Dah sasa nifanyeje. Nilitaka kumfuata sema nikaona kwa sababu leo ni siku ya kwanza, nisije nikazingua.
Equation x said: Kama umeshaanza kupiga mvinyo kwa kuonja tu leo na kuanza kuona watoto wazuri, sahau kujenga mwaka huu 😀 Click to expand... Dah sasa nifanyeje. Nilitaka kumfuata sema nikaona kwa sababu leo ni siku ya kwanza, nisije nikazingua.
Mwiba1 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 1,207 Reaction score 2,561 Feb 10, 2025 #104 Usikubali kuanza Acha kabisa maana hautatoka
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,307 Reaction score 62,517 Feb 10, 2025 #105 GenuineMan said: Dah sasa nifanyeje. Nilitaka kumfuata sema nikaona kwa sababu leo ni siku ya kwanza, nisije nikazingua. Click to expand... Ungesambaza upendo, kwa kumtuma ata mhudumu angalau ampelekee ata chupa mbili za savana.
GenuineMan said: Dah sasa nifanyeje. Nilitaka kumfuata sema nikaona kwa sababu leo ni siku ya kwanza, nisije nikazingua. Click to expand... Ungesambaza upendo, kwa kumtuma ata mhudumu angalau ampelekee ata chupa mbili za savana.
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,724 Reaction score 18,157 Feb 10, 2025 Thread starter #106 Equation x said: Ungesambaza upendo, kwa kumtuma ata mhudumu angalau ampelekee ata chupa mbili za savana. Click to expand... Alikuwa anakunywa soda. Nikajua sio mnywaji wa vileo
Equation x said: Ungesambaza upendo, kwa kumtuma ata mhudumu angalau ampelekee ata chupa mbili za savana. Click to expand... Alikuwa anakunywa soda. Nikajua sio mnywaji wa vileo
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,307 Reaction score 62,517 Feb 10, 2025 #107 GenuineMan said: Alikuwa anakunywa soda. Nikajua sio mnywaji wa vileo Click to expand... Kwa sababu ni mwanzo hakuna shida, ila huku kutumia hela kama laki 1, 2, 3 kwa siku ni kawaida; itategemea umeenda kiwanja kipi. Kama bado unajipanga, usiende viwanja vikali vikali, tembelea haya maeneo ya kawaida kawaida.
GenuineMan said: Alikuwa anakunywa soda. Nikajua sio mnywaji wa vileo Click to expand... Kwa sababu ni mwanzo hakuna shida, ila huku kutumia hela kama laki 1, 2, 3 kwa siku ni kawaida; itategemea umeenda kiwanja kipi. Kama bado unajipanga, usiende viwanja vikali vikali, tembelea haya maeneo ya kawaida kawaida.
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 10,639 Reaction score 15,543 Feb 10, 2025 #108 Saint Anne changanya na Miranda nyeusi nusu glass wine nusu Milinda.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 117,045 Reaction score 189,822 Feb 11, 2025 #109 Infropreneur said: Piga hii Absinthe Calavera. Alcohol percentage 89.9% View attachment 3231010View attachment 3231012 Click to expand... Hii nyekundu si unakunywa Damu kabisaa, aaaah Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Infropreneur said: Piga hii Absinthe Calavera. Alcohol percentage 89.9% View attachment 3231010View attachment 3231012 Click to expand... Hii nyekundu si unakunywa Damu kabisaa, aaaah Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app