Sinywi pombe
Sivut sigara
Sibett
Siend club
Situmii kilev chochote
Sina marafiki kabisa zaid ya ndg yangu
Muda wangu mwingi nautumia kwenye biashara zangu na namshukuru Mungu kanibariki nimefanikiwa sana kulinganisha na umri wangu mdogo(nina kila kitu baba wa familia amachotakiwa kuwa nacho (expensive house/family and car)
Biashara zangu zinafanya vzr sana
Tatizo kilev changu ni kile..... na hii inanitesa sana (especially kwa mke wangu) najitahid sana kupunguza ila nashindwa
Mliofanikiwa kuacha mlifanyaje? Nipen dawa