Kile kiupepo cha kwenye ugali

Duu ngoja ngoja kwanza kwa kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee ipo siku tutaleta mambo ya sirini humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu popote ulipo ule usimibwako wa kuvuta sirini umejionyesha huku
Kwani kusonga ugali ni mambo ya sirini?
 
Kile kiupepo ni ishara kwamba ugali umeiva tayari..
Wanawake kila siku tunapika ugali na bahati mbaya kinatuunguza but yupo kimya. mwanaume Mara moja tu unalia hadi unakula na mkono wa kushoto..kweli kazi ipo!
Kila siku tunaungua tunapiga kimya, halafu yanakula hata shukrani hawana. Sana sana yanalalamika tu mara chumvi ndogo, mara ndimu imezidi. Ajikaze
 
Kila siku tunaungua tunapiga kimya, halafu yanakula hata shukrani hawana. Sana sana yanalalamika tu mara chumvi ndogo, mara ndimu imezidi. Ajikaze
[emoji23][emoji23]
 
Hahahaa wapuuz kweli hawa
Wangejua tunavoumia,akitengewa sahani hata kabla ya kula angesema asante maana si kazi rahisi jikoni
Kila siku tunaungua tunapiga kimya, halafu yanakula hata shukrani hawana. Sana sana yanalalamika tu mara chumvi ndogo, mara ndimu imezidi. Ajikaze
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…