KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Huyu mama, aliyeyekuwa anajipambanua kuwa ni kiboko ya mafisadi, mbona kwenye hili saga hajaongea chochote?
Pia naomba kujua, kwanini waliojitangaza kugombea uraisi, waliopo bungeni, mbona hawaonyesha upande wao kwenye hili sakata?
Huyo ni mganga njaa tu. Alikuwa anatafuta channel sasa kaipata, ametuliza njaa yake.
Kuna taarifa isiyo rasmi kuwa yuko UK anamuuguza baby wake.
Kuna taarifa isiyo rasmi kuwa yuko UK anamuuguza baby wake.
Acha uongo wewe jana alikuwa bungeni kakaa nyuma kabisa na kitenge kafunga kichwani .
Jamani kama hakuna hakika na alipo si tu Muulize mwanawe anashinda hapa jamvini.
Kwani baby yake anaumwa........?
Kwani baby yake anaumwa........?
Inasemekana ''alitembea'' na Nape. na Mwigulu anao mkanda. alimwambia akiongea chochote kuhusu ufisadi anamlipua