Kila wikendi anataka nifanye nae mapenzi

Kila wikendi anataka nifanye nae mapenzi

mchunguze ana ishu gani .Anasoma au ana fanya kazi,Pia mfanyie kitu kitakachomsaidia kama unampenda
 
Weka picha yake nitakuambia kwann hataki pesa yako.....

Na pesa unayo au unajishembendua bure....wewe umesema demu mkali unamgonga unamtoa na ela ya bajaji wakati yeye kaja na vogue, hiyo pesa yako haitoshi hata kujaza upepo tairi za gari yake....

Kibaya zaidi unamgongea getho kwako kwanza kuchafu hakuna ma airfreshner ya maana ...hilo joto sasa...utadhani mko kiwanda cha kuyeyusha vyuma na mtoto kazowea ac mpaka chooni anapokuwa anakata gogo full kipupwe.

Nadhani kaamua kukuachia visilesile vyako yeye anataka huduma yako ya mshedede...ila jiandae siku "baba au babau" yake akijua unamgongea mjukuu wake....lazma na wewe uliwe tuu.

Ndioooo...utaliwa bwana mdogo wala sikutaniii.....umesahau kila mla cha mwenzie chake nacho uliwa.
 
majanaumme hamueleweki isee mkikuta mdada hana time na kuchuna mnataka mchunwe kwa nguvu kuna wanawake wanataka mapenzi tu hawaitaji pesa kama pesa tayari wanazo.
 
Kweli kabisa kichomiz' tena haoni hata aibu kuandika upuzi kama huu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni muuza nyama pale Ambience/kona bar na kule ndiyo anakopatia hela!hila penzi la kweli ameamua litoke kwako!
 
Yaani huwa unasex mara moja tu kwa wiki!!! Huyo mtoto humkamilishi.Atakuja kukukimbia.
 
Mbona ndo kawaida siku hizi! unless awe choka mbaya, ila kwa binti anayejiweza(angalau kidogo) na muelewa ndo mpango mzima kwa ss
Kweli wanawake wakiwezeshwa wanaweza! Kwa ss mwendo 50-50
 
tajirijasiri Mkuu huyo hakufai hata kidogo, ananifaa mimi niunganishe naye!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom