Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 5,557
- 8,193
Wahenga wanasema kumpiga teke chura ni kumuongezea hatua sasa Serikali imenikaanga mtaani mwaka wa saba huu bila ajira nikatafuta chimbo likawa linanipa dor za kulipa bills zote za muhimu na vichenchi kidogo kubaki
Sasa kuna wakati natamani ajira maana mishe zinakazaga kiasi kwamba hata kwa mangi hakuendeki lakini kipindi kama hicho Serikali nayo imeukausha hakuna mikeka ya nafasi za kazi wala kuitwa interview/kazi.
Cha ajabu sasa pale wanapoita wananikuta nipo well off na miharakati kibao na mishe za pesa kila siku najikuta sina habari na ajira zao tena kwanza hakuna boss alieajiriwa