Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Nitajaribu japo kwenye hii kwangu ya mwaka niliyolipia, natumiaga BT sport au Bein Sports kutazama Europa
 
Nimenunua hii Tv. Nimeona ina king'amuzi ndani sasa naomba maujanja yakutumia hicho king'amuzi . Natumia king'amuzi cha Azam. Je nikiongeza -LND- kwenye dish la Azam nitapata chanel za free au nitumie njia ipi kupata chaneli za free kwenye iyo tv . Nitashukuru kwa mawazo yenu na elimu kutoka kwenu Asante.
IMG-20190623-WA0002.jpeg
 
Nimenunua hii Tv. Nimeona ina king'amuzi ndani sasa naomba maujanja yakutumia hicho king'amuzi . Natumia king'amuzi cha Azam. Je nikiongeza -LND- kwenye dish la Azam nitapata chanel za free au nitumie njia ipi kupata chaneli za free kwenye iyo tv . Nitashukuru kwa mawazo yenu na elimu kutoka kwenu Asante.View attachment 1136204
Funga antenna zile za zamani, na search kama uko mjini mjini utakamata local channel
 
Nimenunua hii Tv. Nimeona ina king'amuzi ndani sasa naomba maujanja yakutumia hicho king'amuzi . Natumia king'amuzi cha Azam. Je nikiongeza -LND- kwenye dish la Azam nitapata chanel za free au nitumie njia ipi kupata chaneli za free kwenye iyo tv . Nitashukuru kwa mawazo yenu na elimu kutoka kwenu Asante.View attachment 1136204
Kina DVBT2 na s2 hivyo vyote antenna na lnb unaweza tumia.

Kwenye dish la azam utapata tu chanell zile zile ambazo unazoziona kwenye other chanell.

Bora ufuate ushauri wa mdau hapo juu kuweka antenna ili upate baadhi ya chanell za Star times.
 
Kiongozi.
Hivi naweza kupakuwa movie kwenye prime au Netflix kisha nikaweza kuiangalia kwenye Tv?
 
Ndio lakini kwa njia official,
Soma hapa

Pia mkuu Netflix wanaruhusu kudownload kwenye simu, hivyo unadownload tu kisha connect simu na tv kwa Miracast ama wifi direct kisha play kwenye simu itaonekana kwenye tv.

Swali, Kama una Netflix kwenye simu kwanini usiieke kwenye tv pia? Au tv yako sio smart?
 
Fafanua netflix ya simu ni built in ap au ni app ya kudownload fafanua mwalimu .
Tuzidi kuongeza maarifa.
 
Ni app ya kudownload na kulipia mkuu,

-Unadownload kwenye simu ipo play store
-unalipia Kama dola 8 kwa mwezi
-unaona baadhi ya movies na TV series kihalali.

Ukishalipia unaweza kushare na wenzako, tegemea na package nyengine watu wawili, nyengine wanne etc. Na unaweza kuangalia kwenye simu, tv, tablet, computer etc

Sema wameanza na package ya simu tu, imeanza huko India kwa chini ya dola 3, hivyo ikija huku kwetu inaweza kuwa around 6,000 kwa mwezi.
 
So kwa sasa haiko applicable kwetu Boss au tayari.Duuh dunia inabadilika
 
Tutasubiri hiyo ila bado ni sio cheaper kwa mazingira yetu ya kitanzania.
Ipo namna ya kuzipata kwa dola 1 ama 2, ya UHD trial ya mwezi unayotumia Hadi watu 4,

Hivyo Kama watu 4 mnachanga unalipa 2400 ama 4800 ambayo ni sawa na sh 600 kwa mwezi kwa mtu.

Sema ni njia za vichochoroni na kila mwezi inabidi ununue huwezi unga ya muda mrefu.
 
Back
Top Bottom