Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,716
- 39,804
- Thread starter
- #1,761
mkuu ukiwa na tv ya android utafanya yote hayo ila mimi sishauri sana kununua smart tv sababu zinauzwa bei ghali.Mkuu nikuulize kitu, ila ntahitaji unijibu kwa mapana zaidi ukipata muda, swali ni hivi, ni tv gani ya kisasa inauwezo wa kufanya kazi km kompyuta, yaani iwe na uwezo wa kukamata wireless ntwrk au kuinstall modem drivers, iwe na uwezo wa kuinstall programs km hii ya kodi na nyingnezo, je inawezekana kwa hizi tv za kisasa kuweka kuoperate browsers km operamini, chrome n.k, nawezaje kutype maneno while remote haijawekwa herufi, naomba unienlighten juu ya hili mkuu.
tv moja hio hio ikiwa smart inauzwa milioni 3 ikiwa sio smart inauzwa milioni 1.
njia ninayoipendekeza mimi ni kutumia tv box la android au la windows.
nunua tv yako ya kawaida yenye port ya hdmi halafu nunua na box, bei za box ni around laki 1 hadi laki 2 hivi kutegemeana na specs.
unachomeka box lako na tv then tv yako itabadilika na kuwa smart kwa gharama ndogo.
mfano kama box ni la android utapata playstore, browser na apps zengine.
hata kama una desktop linazagaa nyumbani unaweza kulifanya home theatre pc na kuifanya tv iwe smart sema tu desktop zinakula sana umeme.
kuhusu issue ya kucontrol ukiwa mbali tumia mouse na keyboard za bluetooth utakaa kwenye kochi na kufanya mambo yako bila shida