Kila tukigombana ananiblock WhatsApp

Kila tukigombana ananiblock WhatsApp

Wanaume tumebaki wachache sana na naona tunazidi kupungua.
Sure... mwanaume lazima uonyeshe uanamme wakoo. Hata mie ningepata km huyuu namchezea tuu.. huyu anaweza pigwa kofii na akasamehe au akafumania kabisaaa na akasamehee.. huo si uanamme. Anatakiwa kuonyesha kuwa ni rijali asibabaishwe na kitu asimame yeye km kidume kilichokomaaa.
 
Nina girlfriend wangu ambaye kila tukigombana zikipita siku tatu au nne sijamsemesha ananiblock Whatssap na tukishaelewana ana unblock.

Nikimuuliza kwanini anapenda kuniblock kila tukikosana anasema kwamba huwa anaumia akiniona especially my dp ndomana anaona bora aniblock kwa muda huo ili nafsi yake itulie.

Je ni kwamba anamapenzi ya dhati na mimi au ananiektia ?

Je mtu anapokublock badala ya kufuta namba yako mazima ili hata kwenye whatssap isionekane huwa anamaanisha nini ?

Karibuni tupeane experience wataalamu wa mambo ya mapenzi
Tena boundary siku unayomuacha mtoe outings then mpeleke mahali kampe cha mwisho mwishoo cha maana yaan heavy na ambacho unajua hiko hujawahi mpaaaa,,, tena siku hiyo fanya hivyo bila yeye kujijuaa ila utumie kingaa au mwaga nje kuzuia mimba.. baaada ya hapo mkishavaa mwambie ITS OVER yaan sisi wanawake huwa tunadata kwa kuachwa hivyoo na usigeuke nyuma... songa mbeleee tafuta msichana mzuri kushinda yeye yaan akikuona naye roho imuumeee kabisaa.. usirudi kula matapishii.... dawa yake ndo hiyooo..
 
Mimi ambaye ndie huwa nina mblock nina 16 na yeye ana 19
Mnabakana tuuu.. bado watotoo mnakimbilia ukubwaa. Someni acheni hivi vituu mtavikuta mbeleni. Vipo na vinazidi kuwepo.. hebu jiulixe ukipewa mimba wazazi wako utawaweka wapii maana atakayekupa mimba naye analelewa kila kitu hutoka kwa wazazi... kumbe tunashauri watoto wadogo ambao wanatakiwa wawe darasani..khaa. na weweee kijana acha haya mambo au hujui kuna sheria juu ya age ya huyu msichana..
 
Mnabakana tuuu.. bado watotoo mnakimbilia ukubwaa. Someni acheni hivi vituu mtavikuta mbeleni. Vipo na vinazidi kuwepo.. hebu jiulixe ukipewa mimba wazazi wako utawaweka wapii maana atakayekupa mimba naye analelewa kila kitu hutoka kwa wazazi... kumbe tunashauri watoto wadogo ambao wanatakiwa wawe darasani..khaa. na weweee kijana acha haya mambo au hujui kuna sheria juu ya age ya huyu msichana..
AKINA NIPA MIMBA ATAPATA TABU SANA
cc: @Ambiele Kivele ile post yako kwenye jukwaa la picha
 
There's a big possibility that a tactical approach is in play right here!

Huenda kafanya hivyo ili usimtafute. Hapo anakua amepata ample time kufanya chochote kile atakacho kisha atarudi "mkitatua issues"
 
Kudate na vitoto kazi kweli, mwengine mkikosana anahamidhia ugomvi kwenye Whatsapp status... mimi huwa namute status zao wanabaki kuuliza ww huangaliagi status eeeh! Sina huo muda ndio jibu
Hata watu wazima wengine wanafanya hayo
 
Back
Top Bottom