Naunga mkono hoja. Sisi ilikuwa mwendo wa barua au kurusha jiwe juu ya mabati... mtoto anajua uko aroundHaya mapenzi yenu ya siku hizi ni shida sana. Bora mapenzi yetu ya kizamani hakuna whatsapp wala simu ya mkononi. Babu Asprin atakubaliana na mimi..
Enzi hizo nagegeda mtoto wa mwarabu pale Ngamiani-Tanga. Nishakubaliana na mtoto kuwa nikifika dukani kwa baba yako ntakohoa utoke ndani. Siku hiyo nikatokea dukani nikaanza kukohoa mwarabu ananitizama tu. Mwisho nasikia mwarabu ananiambia Takohoa baka nayamba leo toto bana toka ndani. Kweli sisi ndio tulifaidi mapenzi sio hawa wa kuomba namba..Naunga mkono hoja. Sisi ilikuwa mwendo wa barua au kurusha jiwe juu ya mabati... mtoto anajua uko around
Mwarabu alikuwa mstaarabu huyo. Mwingine angekuchabanga na kitu chenye ncha kaliEnzi hizo nagegeda mtoto wa mwarabu pale Ngamiani-Tanga. Nishakubaliana na mtoto kuwa nikifika dukani kwa baba yako ntakohoa utoke ndani. Siku hiyo nikatokea dukani nikaanza kukohoa mwarabu ananitizama tu. Mwisho nasikia mwarabu ananiambia Takohoa baka nayamba leo toto bana toka ndani. Kweli sisi ndio tulifaidi mapenzi sio hawa wa kuomba namba..
Hahahaa ukiona Nyani mzee ujue kakwepa mishale mingi babu. Sitasahau siku niliyosakiziwa madogi kisa nafuatilia mtoto wa kibosile wa Nasaco . Hivi hii kampuni ya Nasaco bado ipo??Mwarabu alikuwa mstaarabu huyo. Mwingine angekuchabanga na kitu chenye ncha kali
Hiyo ilishajifia kifo cha mendeHahahaa ukiona Nyani mzee ujue kakwepa mishale mingi babu. Sitasahau siku niliyosakiziwa madogi kisa nafuatilia mtoto wa kibosile wa Nasaco . Hivi hii kampuni ya Nasaco bado ipo??
Afadhali babu. Maana ilikuwa kila nikipita pale Sokoine drive nakumbuka wale mbwa na yule mzee.Hiyo ilishajifia kifo cha mende
Hahahaha pole sana mkuu. Huo sasa ndo uamaume. Lazima upitie mitihani kwenye maisha ya ngonoAfadhali babu. Maana ilikuwa kila nikipita pale Sokoine drive nakumbuka wale mbwa na yule mzee.
Ushauri mzuri,hivi wewe ni mtoa ushaur,umesomea?Sikiliza mimi ni mdada..na huyo bint hakupendi kabisa. Sasa ukiwa kila mara unambembelezaa mrudiane anakuona booyaa mnoo. Wewee mpige kibuti tena mwambie huna shida naye tena tafuta mwingine sio huyoo.. na hata akijiliizaa usimuomee huruma machozi yake..bali onea huruma moyo wako kuja kuumizwa na mapenzi feki.... Tafuta mpenzi anayekupenda na kujua thamani ya mwanaume wake.... sio kuwa bwege wa mapenzi utaumizwa mbeleni weweee.. na pia mwanaume ni kichwa sasa ukionyesha udhaifu wako atakuweka matakoni siku si nyingii. Achana nayee huyoo hana mapenzi kwako..funga ukurasa na anza mpya na mpz wa kweli atakayekuthamin daima....
Hii ni kweli kabisa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahaahha mimi nashauri mambo mengi sana... ila hili naona anajiumixa kichwa kwa mtu asiyempenda.. yaan kitu kiko wazi anakiona halafu anaendelea kumbatia motoo utakuja muunguza siku si nyingii. Aachane naye huyoo atapata anaye mpenda kwa dhati anayejua maana ya kumtendea mema mpx wake na kutokumuumiza.. sio wa kublock mtu kisa kosa tu... mimi ukiniboock sina muda yaan nakupotexea mazimaaaa.. sasa yeye haelewii maana ya block maana yake hatakiwii...Ushauri mzuri,hivi wewe ni mtoa ushaur,umesomea?