Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
hiyo nchi yenye MAKING BABIES ni nchi gani
Mali.......kwani we mgumba wataka kwenda huko?:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
Ni NIGER mkuu sio Mali....
Mali imetambulishwa kama Kulicolo Firefinches
Thanks........unajua uzee tena
Ila nimecheka sana nilipoona namna walivyoitambulisha Somalia na Bara Hindi(India)...
Mkuu hujaiona CHILE?
Nchi nyingine napata tabu kusoma...maandishi yamebanana sana
Hakuna talaka kule CHILE!
Mali.......kwani we mgumba wataka kwenda huko?:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
nahisi nilitakiwa niwe raia wa huko maana.............................................
nahisi nilitakiwa niwe raia wa huko maana.............................................
ila na sie TZ si haba kumbe.........
Watakuwa wanafuzu vizuri katika mambo ya JANDO NA UNYAGOHakuna talaka kule CHILE!
Watakuwa wanafuzu vizuri katika mambo ya JANDO NA UNYAGO
Hawa ni watoto wa familia moja ya Bwana Bagayoko......sio mchezo