rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,980
Katika wanaume asilimia 95 bhasi wengi wetu tulianzia safari ya maisha kwenye godoro bila kitandaa lakini leo tuna maisha na familia zetu.. Usiogope kuanza safari ya maisha yako hakuna siku utakuwa tayari!
Ummke uende ukaianze safari yako huko mengine yatafata..hapo kwa baba utakula na kulala bure mpaka lini???? 25+ Sio umri wa kung'ang'ania nyumbani
Ummke uende ukaianze safari yako huko mengine yatafata..hapo kwa baba utakula na kulala bure mpaka lini???? 25+ Sio umri wa kung'ang'ania nyumbani