Kila saa moja jioni

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
Baada ya fungate la ndoa yao, bwana harusi alikaa bi harus akaanza kumpa sheria:
Mr: Nitakua natoka na kurud mda ninaotaka na kwenda ninapotaka. Unatakiwa unipikie chakula kitam kila siku. Pia ntakua natoka na washkaj wangu kwenda viwanja kila ntakapojickia na sitatarajia complain zozote kutoka kwako. Sawa?
Bibie akajibu: I'm ok with all those but remember my schedule to have sex is every day 7p.m whether u r here or not!
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Khaaa...
 
Wanawake tuna akili sana, ndio maana mianaume mnaishia kutumia mabavu tu

true dat, chezea sisi..mungu an hekima ndo mana akaanza muumba adam, la sivyo....heheheiiyaah.
 
Hapo inabidi jamaa abadili msimamo ili kila siku awepo kugaswa dozi ndo aendelee na washkaji wake aendako
 
Ha! Mwanamke wa hivyo kumkomoa unampa "ok" ila na we unamwambia ni saa 6 usiku,uwe umerudi au bado!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…