Kila raundi moja mrembo anazimia

Kila raundi moja mrembo anazimia

Wakati anazimia anakua amejiegesha mkao gani?

Usikute unapewa signal kwa jambo fulani ila unaapuzia...


Cc: mahondaw
Huwa wanakuwa hawajitambui ukiwa mwoga unaweza kukimbia..unachotakiwa kufanya nikujaribu kumsemesha(kumwita jina lake)kwa kumgusagusa...atashituka na kuanza kuuliza ni nini kimetokea?
 
Hiyo hata Mimi imewahi kunitokea,nikakaza baada ya dakika mbili naona mtu kimya,ikabidi nichomoe dude
Ita haitki,nikasema nimeua
Nikaamuka nikachukua shuka nikaanza kupepea hamna kitu
Nikakumbuka wimbo wa Huseni machozi kafia getto, ila baada ya dakika 5 akazinduka,akaamka akaanza kuniita,akanambia ngoja nioge niende nyumbani

Hata sikumsemesha,akaondoka ,usiku nikamuuliza,vip mbona wakati wa mechi ulizima ghafla
Akaanza kukataa katakata ,akasema mbona hakumbuki
Tangia siku hiyo uhusiano uliisha
 
ha ha ha ha,hata kama ni mapepo inabidi wataalamu watujuze kwa nini inatokea
 
Mkuu umezaliwa tarehe 28, mwezi wa 4, mwaka 2018. Ama kweli wewe ni kiben10.
 
Inawezekana anazimia kweli mkuu,

Labda wale wajomba wako ndani yake
 
Yamewahi Nikuta haya pale msamvu Morogoro kuna nyumba ya wageni , ndiyo Mara ya kwanza nakutana na mtoto mbichiiiii, mambo anayajua vilivyo yani ni balaaa hatari ila akifika mwisho yani akifika kileleni anakata moto mbwembwe zote zinamuisha anakaa kama dakika tano hivi anaanza kujielewa tena.

La kwanza nikastuka sana mana kila nikimbembeleza na kumshika tumashavu mtoto kimya mamaeeee nikataka kuchanganyikiwa ila nikasema ngoja nimvumilie baada ya tano akajielewa kwenda tena roundi ya pili vivyo hivyo dadeki ila nilishazoea hali yake na sikumuuliza nini tatizo.

haya mambo yapo yawezekana kiben10 Ukawa umenichukulia demu wangu
 
Jamani naombeni ushauri if mmewahi kupia nanyi hichi kilichonikita mimi kwa mrembo huyu usiku wa kuamkia leo.

Kila tukiingia mzigoni Goal moja mtoto anazimia na after 20mins anazinduka anakunywa maji mengi then kukaendelea then akazima tena amezima mara 3, ila anasema ni kawaida yake sasa naombeni kujua wenzangu na mie mmewahi kupitia kwa haya kama niliyoyaona mimi? Kwani ni kweli anazimia na sio ananiektia la hasha....

Nisaidieni.......
mzee baba una mtwangiO kama mchi[emoji23]
 
Back
Top Bottom