Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
“KILA raia wa Norway, hata yule ambaye hajazaliwa, ana uhakika wa akiba ya Kroner takriban 600,000 wakati hapa Tanzania pekee, kila mmoja anadaiwa zaidi ya Shs. 700,000 kutokana na Deni la Taifa,” ndivyo anavyosema Profesa Patrick Lumumba, Mkuu wa Shule ya Sheria ya Kenya.
Profesa Lumumba anasema kwamba, uchumi imara wa Norway unaotokana na usimamizi madhubuti wa mafuta na gesi, ukichangiwa na idadi ndogo ya watu ambao asilimia kubwa ni wazalishaji, umeifanya nchi hiyo kuwa mfano duniani katika ukuzaji wa uchumi.
Kwa habari zaidi, soma hapa=> Kila raia wa Norway anamiliki Dola 173,000, Mtanzania anadaiwa Shs. 778,000 | Fikra Pevu