Kila ninayempata ni single mama

Kila ninayempata ni single mama

oa hao hao mkuu,hilo ndilo fungu Mungu kakupangia
 
Ashukuriwe Magu kukataza wazazi kuendelea na shule. Hilo tatizo litapungua siku za usoni mkuu.
 
Mkuu utakua upo Morogoro.
Nimeishi Moro 5 yrz kila nikimpata demu ni single mama.
Yaan moro kila demu kazalishwa ukibahatika kumpata 100% ni mwanafunzi tena wa o level.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom