Kila ninavyoitafakari Mbingu

Kila ninavyoitafakari Mbingu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,198
Kila ninavyoitafakari mbingu kuna mengi ya kushangazwa,

1:mbingu imetengenezwa na nini?

2:Ni umbali wa kiasi gani ili kuweza kuifikia mbingu.

3:mbingu tunayoina Angani ndiyo ile mbingu tuliyoandaliwa kukaa tukifika mbinguni?.

Hakika mungu ni mwema na mwenye uweza wa yote katikati ya Fumbo hili na bado mbingu ipo lakini hakuna jibu la Mbingu ni nini?

Katika kila Hatua moja mbele kuna hatua moja zaidi ya kuifikia mbingu .

Je? Mbingu inayosemwa kwenye biblia ndio hiyo mbingu tunayoina kutoka Angani.?

Hakika mbingu ni makao yetu ya milele lakini mbingu hiyo tuliyoandaliwa ni mbingu ya Namna gani?

Nb; Hakuna haijuae kesho Fanya mema leo ili uweze kuitengeneza njia iliyo bora ya kwenda mbinguni.
 
mbinguni ni mahala halisi pa kugusika.
anga sio mbingu...
kwa waumini wa bibilia... wanaishi duniani kma wapangaji au wapitaji maana Yesu yuko anaandaa na kudesign maeneo ya wao kuishi milele
 
Kila ninavyoitafakari mbingu kuna mengi ya kushangazwa,

1:mbingu imetengenezwa na nini?

2:Ni umbali wa kiasi gani ili kuweza kuifikia mbingu.

3:mbingu tunayoina Angani ndiyo ile mbingu tuliyoandaliwa kukaa tukifika mbinguni?.

Hakika mungu ni mwema na mwenye uweza wa yote katikati ya Fumbo hili na bado mbingu ipo lakini hakuna jibu la Mbingu ni nini?

Katika kila Hatua moja mbele kuna hatua moja zaidi ya kuifikia mbingu .

Je? Mbingu inayosemwa kwenye biblia ndio hiyo mbingu tunayoina kutoka Angani.?

Hakika mbingu ni makao yetu ya milele lakini mbingu hiyo tuliyoandaliwa ni mbingu ya Namna gani?

Nb; Hakuna haijuae kesho Fanya mema leo ili uweze kuitengeneza njia iliyo bora ya kwenda mbinguni.
Ni vema kutafakali vitu kama hivyo, ni vya mbali sana, kuliko siasa, hizo ni za hapa tu, kwa kifupi una mtazamo wa mbali, ubarikiwe
 
Mbinguni tutakapoishi siyo lile anga unaloliona kule juu.

Na kosa hili wanalifanya hata wachoraji wa picha za Mungu,Yesu na Malaika.

Hata wanaanga wa NASA walipoenda mwezini miaka ya 60 jambo la kwanza kufanya lilikuwa kumtafuta Mungu na Paradiso na hawakuviona.

Mbingu ipo,ila iko wapi ilo swali mwachie Mungu.
 
Na ndio maana nimeitafakari mbingu
 
Mbinguni tutakapoishi siyo lile anga unaloliona kule juu.

Na kosa hili wanalifanya hata wachoraji wa picha za Mungu,Yesu na Malaika.

Hata wanaanga wa NASA walipoenda mwezini miaka ya 60 jambo la kwanza kufanya lilikuwa kumtafuta Mungu na Paradiso na hawakuviona.

Mbingu ipo,ila iko wapi ilo swali mwachie Mungu.
mbinguni ni nje ya universe na umbali wake haupimwi kwa km ni zaidi ya lightyears.
 
Wakati walio chini upande wa pili wa dunia juu yao ni chini yako na chini yao ni juu yako.

Antipodes Map - Tunnel to the other side of the world
planet-earth.jpg

kwa udogo wa dunia ukilinganisha na eneo ambalo tunaamini utakutana na mbingu popote ulipo duniani bado mbinguni ni juu. na ndivyo tunavyoambiwa na vitabu vya imani.
maana kwa sababu aliyesema mbinguni ni juu anajua dimension ya mbingu kwa kulinganisha na dunia na universe yote. ambapo kulinganisha dimensions za dunia na kipenyo cha universe ni sawa na kulinganisha bwawa la kidatu na ukubwa wa bahari zote za duniani hapo bado mbinguni hujafika
 
Back
Top Bottom