Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,937
Ungewaza pia baada ya waiter kuzungusha ni mifuko mingapi ya cement ungenunua?kila napowaza kuacha kunywa bia.....nafikiria wakulima wa ngano na vibarua wao pamoja na familia zao....pia nawawazia sana wafanyakazi wa TBL na familia zao, madereva wa malori ya bia pamoja na familia zao, wanaolipa ada za wanao na kodi za nyumba kutokana na kuendesha malori ya bia, pia nawafikiria ma bar maids na familia zao na wamiliki wa bar ambao wametoa pesa zao kuwekeza ktk uuzaji wa bia....haya yote yananigusa sana moyoni nagundua kwamba mi kutokununua bia kunasababisha watu wengne wapate maisha magumu, kufa na njaa au kutotimiza ndoto zao.....
baada ya hapo nanyanyua glass yangu ya ndovu naendelea kunywa....
sipendagi ukatili kwa binadamu wenzangu kabisa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Waiter Zungusha Tena[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
kwa maana kwamba kwa kuzungusha round za bia na kushindwa kununua mifuko ya cement, ajue kuwa wafanyakazi wa viwanda vya cement na familia zao, madereva wa maroli ya cement na familia zao, wenye maduka ya cement pamoja na wafanyakazi wao maisha yao yamekuwa magumu kwa sababu yake..Ungewaza pia baada ya waiter kuzungusha ni mifuko mingapi ya cement ungenunua?
Una juaje may b pesa nnayo tumia ni Kod ZenuUngewaza pia baada ya waiter kuzungusha ni mifuko mingapi ya cement ungenunua?
Hata kama ni kodi huwezi kuikinga tena ukiwa over 70 lakini ukiwa na nyumba za ziada utapata kodi ukiwa umri huo.Una juaje may b pesa nnayo tumia ni Kod Zenu
Naona mlevi anatafuta fact ya kuendelea kunywa pombe ...[emoji23] [emoji23] [emoji23]kila napowaza kuacha kunywa bia.....nafikiria wakulima wa ngano na vibarua wao pamoja na familia zao....pia nawawazia sana wafanyakazi wa TBL na familia zao, madereva wa malori ya bia pamoja na familia zao, wanaolipa ada za wanao na kodi za nyumba kutokana na kuendesha malori ya bia, pia nawafikiria ma bar maids na familia zao na wamiliki wa bar ambao wametoa pesa zao kuwekeza ktk uuzaji wa bia....haya yote yananigusa sana moyoni nagundua kwamba mi kutokununua bia kunasababisha watu wengne wapate maisha magumu, kufa na njaa au kutotimiza ndoto zao.....
baada ya hapo nanyanyua glass yangu ya ndovu naendelea kunywa....
sipendagi ukatili kwa binadamu wenzangu kabisa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Waiter Zungusha Tena[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
Najua hii pesa nnayo tumia nimeipatajeHata kama ni kodi huwezi kuikinga tena ukiwa over 70 lakini ukiwa na nyumba za ziada utapata kodi ukiwa umri huo.
Nadiliki kusema Pombe Tam kuliko Hata Uchi Wa MwanamkeNaona mlevi anatafuta fact ya kuendelea kunywa pombe ...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa buana ni mtazamo tuu maana wapo wanayoisujudu pombe ...Nadiliki kusema Pombe Tam kuliko Hata Uchi Wa Mwanamke
Save water Drink beer....kila napowaza kuacha kunywa bia.....nafikiria wakulima wa ngano na vibarua wao pamoja na familia zao....pia nawawazia sana wafanyakazi wa TBL na familia zao, madereva wa malori ya bia pamoja na familia zao, wanaolipa ada za wanao na kodi za nyumba kutokana na kuendesha malori ya bia, pia nawafikiria ma bar maids na familia zao na wamiliki wa bar ambao wametoa pesa zao kuwekeza ktk uuzaji wa bia....haya yote yananigusa sana moyoni nagundua kwamba mi kutokununua bia kunasababisha watu wengne wapate maisha magumu, kufa na njaa au kutotimiza ndoto zao.....
baada ya hapo nanyanyua glass yangu ya ndovu naendelea kunywa....
sipendagi ukatili kwa binadamu wenzangu kabisa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Waiter Zungusha Tena[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
wenye bar,watu wa TBL. watatumia hela anazowapa kununua cement.kwa maana kwamba kwa kuzungusha round za bia na kushindwa kununua mifuko ya cement, ajue kuwa wafanyakazi wa viwanda vya cement na familia zao, madereva wa maroli ya cement na familia zao, wenye maduka ya cement pamoja na wafanyakazi wao maisha yao yamekuwa magumu kwa sababu yake..
Nasafisha koo hapaSave water Drink beer....