Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
Nakuwa kawaida sawa na wengine.Labda una kitu unique
Avatar na monekano wangu havifanani.Hata mm nimeshangaa profile picture yako ila cjui kwa nn...m
Nimeuliza watu kama nina kasoro but hakuna aliyesema ndiyo.Kingine hata watu tusiofahamiana wananishangaa.sidhan kama JF kuna mtu ana taswira ya umbo lako ili kukupa huo msaada wa kujua una kasoro gan?
Option 1: Weka picha yako tuiangalie tukupe kasoro
Option 2: Mtafute mtu yoyote wa karibu yako muulize kama una kasoro yoyote
Hitimisho inaweza isiwe ni maumbile yako yalivyo tabia na miendeno yako inaweza kusababisha watu wawe wanakuangalia kila ukipita
Nitaiweka April 20.Aweke picha
Watu wanaonizunguka waliniambia kuwa watu wananishangaa.Wewe umewaona kutumia nini?
Au kuna mtu amekupigia simu na kukwambia watu wanakushangaa?
Hali hii tangu utoto au ghafla ukiwa mtu mzima?Wakuu wa baraza heshima kwenu,
Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho kupita kiasi. Niwe mitaani, barabarani, sokoni au sehemu yoyote watu wananishangaa bila kujua nini sababu. Watoto, wazee, watu wa rika langu, watu wazima na wa jinsia zote wamekuwa wakinikodolea macho sana. Wengine wanakodoa kwa kujificha na wengine waziwazi.
Nashtushwa na hiyo hali cause nikipita sehemu na kuwa kama mzimu uliofufukia kwenye mtaa uliozikwa kutokana na jinsi wanavyonishangaa. Sometimes inanilazimu kuingia chimbo kujikagua kama zipu ipo sawasawa au ndege ameninyea bila kujua ila najikuta nipo sawa. Nimevumilia ila nikaona si vibaya kuja kuuliza nini sababu ya watu kuwashangaa watu wengine pindi wawapo kwenye mishe mishe zao? Kama umewahi kumkodolea macho mtu mwingine sababu inakuwa ni kitu gani?
Asanteni!
Utotoni sikumbuki vizuri ila kwa sasa imeshamiri sana.Hali hii tangu utoto au ghafla ukiwa mtu mzima?
okey tumia option 1Nimeuliza watu kama nina kasoro but hakuna aliyesema ndiyo.Kingine hata watu tusiofahamiana wananishangaa.
Nipo flat sana, hiyo haiwezi kuwa sababu.Utakua na chura wa maana tu..
Sasa unakuja kutuuliza sisi kwani sisi tulikuepo huko?
Sijawahi kutumia facebook hata siku moja.Nenda facebook
acha zako uko sawa na nani na hayo masharubu yako!!?Nakuwa kawaida sawa na wengine.