Kila nikimtokea kila demu na kumwelezea shida zangu haamini kama nampenda kweli,unakuta kila nikimtongoza msichana mzuri jibu ninayopewa eti siwezi nikadumu naye mana lazima wasichana wengine watajipendekeza kwangu na nitamwacha.kila ninayemfuata anahisi namdanganya wakati nipo serious,sijui nifanyaje??

</p>ndugu yangu unawatongoza au unawaeleza shida zako?
ndugu yangu unawatongoza au unawaeleza shida zako?
Kila nikimtokea kila demu na kumwelezea shida zangu haamini kama nampenda kweli,unakuta kila nikimtongoza msichana mzuri jibu ninayopewa eti siwezi nikadumu naye mana lazima wasichana wengine watajipendekeza kwangu na nitamwacha.kila ninayemfuata anahisi namdanganya wakati nipo serious,sijui nifanyaje??
sina uhakika kwa hayo unayosema,maana yalikuwa mambo ya kizamani sana sikuhizi msichana hamkatai mtu bw hatakama ni mlemavu,ninacho hisi hapa ni kwamba wewe unajisifia wewe ni mzuri!
Kila nikimtokea kila demu na kumwelezea shida zangu haamini kama nampenda kweli,unakuta kila nikimtongoza msichana mzuri jibu ninayopewa eti siwezi nikadumu naye mana lazima wasichana wengine watajipendekeza kwangu na nitamwacha.kila ninayemfuata anahisi namdanganya wakati nipo serious,sijui nifanyaje??
Ahaa ahaa first lady wangu nimecheka sana yaani afanye EVALUATION ya tongozo zakeFanya evaluation ya namna unavyotongoza na hao waliokukataa utajifunza jambo.....utagundua unakosea wapi nina hakika...!!
Angalia pia unatongoza nani,aweza kuwa na jinsia ya kike lakini wewe si type yake.....siku hizi wasichana wanaangalia zaidi ya hisia zao za kimwili ndugu yangu......ila kama ulivyoshauriwa hapo juu, ni vizuri kabla ya kujieleza sana ukatengeneza urafiki na mtu,ukamfahamu vizuri na baadaye waweza mwambia malengo yako.....usimpe pressure wala usionyeshe uko desperate,wanawake kama mlivyo wanaume hampendi....