Kila nikitaka kuchepuka nashitukiwa na mwenza wangu

Kila nikitaka kuchepuka nashitukiwa na mwenza wangu

Vipi ikiwa na yeye anawenge kama lako? Je ungependa mwanamke mwibgine atoke na boy wako pia

Hiyo ni tabia ya kujitakia pia inaonekana wewe ulistahili kuwa freel ance.yaa free to air.sababu mwisho wa siku utakuja kusababisha mikaa ya kwenye magunia iadimike mtaani.sababu unaweza ikaagizwa lory zima la mikaa kwa ajili ya kykushughulikia
 
Kama ni mwanaume na unajiita BIKINI nina mashaka na urijali wako
 
Pale mwanaume anapojiita bikini[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom