Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Elezea huo u majanga unakujaje??
Naona unapigwa za uso tu mkuu.pole sana.! Huu mwaka sio wako kabisa.
Upate maombi kulingana na dini yako. Una jini mahaba.Mkuu majanga ni sawa na kuleta ndege leo halfu kesho unaambiwa inatakiwa kurud usa kwa matengenezo
Mkuu majanga ni sawa na kuleta ndege leo halfu kesho unaambiwa inatakiwa kurud usa kwa matengenezo
Upate maombi kulingana na dini yako. Una jini mahaba.
Ful stop.
Utakuja kunikumbuka
Wazee baba na wazee mama mambo vipi..
Sijui hata niliweke vipi hili janga lakini mimi kila nikipenda ni majanga mazee,
Shida sijajua ni nini kati ya wivu au gubu lakini upendo kwangu ni mtihani mkubwa mnoo...
Uzi tayari
Mi hapa ntakuwa msomaji tu
Pombe naipenda ila sometimes inaniletea majanga lakini sichoki kuipenda naivumilia napambana na changamoto zake
USICHOKE KUTAFUTA FURAHA YAKO CHANGAMOTO NDOGONDOGO ZISIKUYUMBISHE
Acha nikupe pole tu
mzee sio wewkuna dada mmoja hapa alikuja na matmbo kweli ya kukusifia mpaka watu wakawa wanawatakia maisha mema???Wazee baba na wazee mama mambo vipi..
Sijui hata niliweke vipi hili janga lakini mimi kila nikipenda ni majanga mazee,
Shida sijajua ni nini kati ya wivu au gubu lakini upendo kwangu ni mtihani mkubwa mnoo...
Uzi tayari