Hivi siku izi ni fashen kutumia X interchangeably na S? We dogo usituzingue hapa tuna mambo mengi ya kufanya. Kama hataki we nunua sabuni yenye picha ya mrembo kwenye box then kapige punyeto🙂🙂🙂🙂🙂
kiukwel jamani mm sielew kabixsa mpz wang kila nikimwbmbia tu do analeta visingzio visvyo na sababu akinihaid cku....mara utasikia naumwa tumbo mara utasikia leo rafik yang kaniganda ndo nimekuja nae xo nakuwa smuelew kabixsa nimevumilia nimechoka sijui nifanye je?

Ushakopwa mpaka basi!!!!!!! Mjini hapa! Wajinga ndo waliwao!
Hivi siku izi ni fashen kutumia X interchangeably na S? We dogo usituzingue hapa tuna mambo mengi ya kufanya. Kama hataki we nunua sabuni yenye picha ya mrembo kwenye box then kapige punyeto🙂🙂🙂🙂🙂
Nilikuwa Uingereza ninasoma miaka ya 90, nilikuwa ninafanya office cleaning jioni kwenye office za BA, nikakutana na kaka Mnigeria, alinizimikia kiaina, alikuwa IT department, anamaliza kazi saa 11.00 jioni mimi ninaanza saa 12.00 - 8.00 usiku, basi kaka akawa ananisubiri mpaka saa mbili anidrop nyumbani. Yeye ndiye aliniitroduce vyakula vya kijaa, tukitoka kazini ananipeleka kula ndiyo anipeleke kwangu, nilistuka hajaniambia karibu kwangu hata siku moja. Basi na mimi nikamwabia ninaishi na family friends wa wazazi wangu kwahiyo hawezi kuingia ndani.
Baada ya kugharamia sana, kila akitaka vitu, ninatoa nje, basi akatafuta venue kwa rafiki yake. Du mimi nikaona sasa ninaliwa, na kwa vyovyote jamaa alikuwa na mke ndiyo maana hakuweza kunipeleka kwake. Basi nikaanza kutolea nje lift. Kuna siku nilikubali kupanda lift, ilikuwa winter, tena nilikuwa period, nikajua hawezi kunifanya chochote, 'My friend, he did it with the blood oohh!!