Kila nikimbusu mpenzi wangu anatema mate chini

Nilijua tu wrng mngezan mdomo wangu mchafu mm huwa narnda hsptal kusafisha meno kila miex sita mdeak napiga kils siku kiac kwamba naends kushoot video lkn mwenzangu wapi
Download keyboard nyingine mkuu, au nenda settings za keyboard yako kisha zima auto correction na set kama hapo chini.

Make unakosea sana kutype utadhani unaandika huku unakimbizwa..
Screenshot_20210912-121108.jpg
 
Wengne mdomo kuwa na harufu ni ugonjwa hata ufanyaje nimewahi soma na mtu WA hivyo kbs ni sawa na kijasho wengne hata aoge vp kiharufu kipo Tu hata atumie spray gani otherwise kuna watu hawapendi Mambo ya kunyonyana mate
 
Ebu nipe jina la spray za mdomo maana mdomo unapitisha vitu ving chai maandaz viporo soda biskut karanga yaan balaa tupu
 
Dah. Kijana wa watu umejitahidi ukatafuta pesa. Umepata pesa na sasa kiss unabaniwa. Enwe jitahidi kununua mouthwash kwenye supermarket yeyote ili muda wote uwe unanukia fresh.
 
Ebu nipe jina la spray za mdomo maana mdomo unapitisha vitu ving chai maandaz viporo soda biskut karanga yaan balaa tupu
Naenda hospital eleza Kwa Dr Kwa kinywa na Meno hiyo Hali upate tiba hata utumie nn huwez pata suluhisho ni sawa na Dada mwenye ugonjwa anayenuka mbususu eti aipulzie marashi anajichosha Tu nenda hsptl Mzee.

Khs huyo demu wako aisee huyo anakutumia Tu uwenda Una msaidia Sana ndo maana hajakuacha Ila ukae ukjua SKU akipata mtu WA kutatua shida zake atakutolea maneno mazto Sana tena ndo atakuchana kbs saivi uvumilivu upo sababu hapa pa kushika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom