Kila nikimbusu mpenzi wangu anatema mate chini

Kwani bila kiss mapenzi hayafanyiki??,,na hizo ni kiss gani mnajazana mate mdomoni(hujui kukiss)
Sawa umesema unasafisha meno ila unaeza kuwa unapiga swaki lakini usijue namna nzuri ya kupiga mswaki(hapa wengi wanalipua na wengine huwa hawasugui ulimi)kwa hyo usijiaminishe kuwa kinywa chako kinasmell good
Ikiwa unapata ugumu emu jaribu kumuuliza tatizo ni nini,ikiwa ni ana kinyaa emu jaribu kumwelewa fanya mapenzi bila kukerana,
 
Habar wadau !!

Nipo katika mahusiano na binti fulan hv ajabu tukikiss anaweka mate mdomon kisha anatema chin nimeongea nae sn lkn hatak kuiacha kiac insfika wakat najisikia vibaya mno nimegombana nae lkn hatak ata tuwe chumban tukikiss anaweka mate mdomon kisha anaenda kutema bafun anasema nidimlaximishe kuyameza mate ata tukisex mate anaweka mdomon after sex anaenda kutema bafun

Kwauchunguz niliofanya nimebain hata tukiwa njian tukakiss mate anaweja mdomon kisha ataongeza spid ya mwendo su kubadilu uelekeo nis yke tu ateme ayo mate ila nisimuone

Nifanyejr
Hivi unafikiri mate yako matamu, mdomo unanuka mtu atapokeaje kiss yako. Jichunguze
 
Habar wadau !!

Nipo katika mahusiano na binti fulan hv ajabu tukikiss anaweka mate mdomon kisha anatema chin nimeongea nae sn lkn hatak kuiacha kiac insfika wakat najisikia vibaya mno nimegombana nae lkn hatak ata tuwe chumban tukikiss anaweka mate mdomon kisha anaenda kutema bafun anasema nidimlaximishe kuyameza mate ata tukisex mate anaweka mdomon after sex anaenda kutema bafun

Kwauchunguz niliofanya nimebain hata tukiwa njian tukakiss mate anaweja mdomon kisha ataongeza spid ya mwendo su kubadilu uelekeo nis yke tu ateme ayo mate ila nisimuone

Nifanyejr
Mnyonye K yake kisha mpige kiss.....
next time ukipiga kiss hata tema mate case closed
 
Duuuuhhh
Kumbe nyie ndio watoto niliowakuta njiani mnapeana mabusu eeehhh!!!
Yaani hata njiani mnapeana kiss.
Hongera wazungu wa Kawe
 
Mmh !! Hapana na wala sitak hata kumsogezea najua hawex

Km kwenye mambo ya kusex hasumbui anaisogeza pale unapohitaj bhas piga moyo konde ila jitahid kinywa kiwe kisafi na jaribu kumuuliza ni kwann anafanya hvyo huenda anasababu zake ambazo ww ni ngumu kujua
 
Nilijua tu wrng mngezan mdomo wangu mchafu mm huwa narnda hsptal kusafisha meno kila miex sita mdeak napiga kils siku kiac kwamba naends kushoot video lkn mwenzangu wapi
We jamaa unatumia simu gani mbona inatype madudu sana? BTW hakikisha tu unaweka kinywa chako safi hata kama unaenda hospital kila baada ya miezi hiyo, kuna wengine kunuka mdomo ni asili yao, kuna doctor mmoja alikuwa ananuka mdomo balaa yani ukiwa unapiga nae stori umekaa nae mbali lakin harufu kali unaipata vilivyo,

So yaweza kuwa na wewe unatatizo hilo, hivo usimchukie mwenzi wako mvumilie au badili mbinu za kumnyegesha siyo lazima mkiss,
 
Me demu yangu inanyonya dick, and i cum in her mouth.
NB;nunua dazani ya miswaki na dazani ya cologate
 
Tatizo ni hilo domo lako. mpaka akwambie kama linanuka? Usimlazimishe bana. Jiangalie wewe mwenyewe kwanza. Zingatia msuaki
 
Mpe dushe anyonye tuone atatema au atameza au atatapika.
Njoo utupe mrejesho tujue cha kukushauri.
Pia waone wataalamu wa meno (dentist) wasafishe meno yako huenda yakawa na ukoko wa uchafu,hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kusafisha meno yake kwa 💯% kwa hiyo ule mrundikano wa mabaki ya chakula hupelekea kuwa ukoko/utandu mzito kwenye meno ambao hauwezi kuondoka bila kukwanguliwa na dentist kwa kutumia kifaa maalumu.
Utakuta mtu ana miaka zaidi ya 40 hajawahi kusafisha meno hata mara moja unategemea mdomo usiwe na hatufu? Haiwezekani aisee.
 
Una Nuka mdomo huna gari 🤣afu unataka mapenz..kenge mkubwa
Habari wadau

Nipo katika mahusiano na binti fulani hivi ajabu tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anatema chini nimeongea naye sana lakini hataki kuiacha kiasi inafika wakati najisikia vibaya mno. Nimegombana naye lakini hataki hata tuwe chumbani tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anakwenda kutema bafuni anasema nisimlazimishe kuyameza mate hata tukisex mate anaweka mdomoni after sex anakwenda kutema bafuni

Kwa uchunguzi niliofanya nimebaini hata tukiwa njian tukakiss mate anaweja mdomoni kisha ataongeza spidi ya mwendo su kubadilu uelekeo nia yake tu ateme ayo mate ila nisimuone

Nifanyeje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom