Kila nikilala naye anataka hela

Kila nikilala naye anataka hela

dickdickinyo

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
118
Reaction score
53
Nina mpenzi Wangu ambaye kwa muda niliokaa nae naweza kusema amekuwa girlfriend.Tatizo ni kwamba kila nikifanya naye mapenzi lazima adai hela.sasa najiuliza huyu ni gf au changudoa.kila bao nilipie jamani.
 
Mkuu yaan hawa wasichana wanamatatizo! Kwa nn na sisi wasitupe pesa?? Kwan sote si twapata rahaaa atii?? Kama anataka pesa na wewe mnyime machine yako! Acha uasherati subiri ndoa Mungu anachukia sana uasherati na unzinzi. Jua mwli wako ni hekalu la Mungu.
 
Saidianeni bhana haya maisha magumu
 
  • Thanks
Reactions: pnk
Kumbuka ulimpata wapi Mara kwenza.
Isije kuwa ni walewaleeeee.
 
Back
Top Bottom