Freightliner
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 720
- 530
Una umri gani?hii inanisumbua sana siku hizi mara kadhaa nikilala naota nafanya mapenzi na nikishtuka tu tayari wazungu washatoka mda mrefu na nakuwa nimeshaloa sasa nashindwa kuelewa nini tatizo la hizi ndoto nyevu za mara kwa mara...
umenitupa kidogoUna umri gani?
Una mda gani hujafanya mapenzi?hii inanisumbua sana siku hizi mara kadhaa nikilala naota nafanya mapenzi na nikishtuka tu tayari wazungu washatoka mda mrefu na nakuwa nimeshaloa sasa nashindwa kuelewa nini tatizo la hizi ndoto nyevu za mara kwa mara...
kama wiki tatu sasaUna mda gani hujafanya mapenzi?
kama wiki tatu sasa
Pole sana, mara nyingi wanasema ni jini mahaba uyo, ikiendelea hvyo hutotamani kuwa na mahusiano na mdada yoyote na kila ukianzisha mahusiano lazma yavunjike! Sali sana na kila ukiota hivyo amka ukemee hilo pepo!kama wiki tatu sasa
embu nijaribu hii nioneJaribu kutafuta mwanamke uende nae faragha, ukishindwa! Au ikatokea ukawa under your performance, ujue lishakuingia dude mahaba!!!
Ulete mrejesho mkuu!embu nijaribu hii nione
Sali kabla ya kulala.hii inanisumbua sana siku hizi mara kadhaa nikilala naota nafanya mapenzi na nikishtuka tu tayari wazungu washatoka mda mrefu na nakuwa nimeshaloa sasa nashindwa kuelewa nini tatizo la hizi ndoto nyevu za mara kwa mara...
ko wazungu wakitoka unakuwa umekaukaUnajikuta UMELOAA!!!!
Mmnhuuuuh
nahisi ivo aisee maana sio kawaidaUnakumbushwa umri wa kuoa umefika.
ujue nnasomesha piaSayansi inasema ndio umevunja ungo. Aah eti ungo... umebalehe eti!!
nina mpenzi na mtoto wa miaka 5 ila sijaoa badoSwali la umri wako hujalijibu