Kila nikila kitimoto nawashwa

Wakuu
Nikila kitimoto nawashwa sehemu mbalimbali za mwili,nikioga kuwasha kunaisha.
Hii ni allergy au?
Kwanini unakula mnyama aliyekatazwa kwenye maandiko matakatifu.
 
Kwamba mdau aliwai kung'atwa na kupe (tick) wakamsababishia hiyo shida?
Hapana hii ni Allergy ya sugar molecule inaitwa alpha-gal inapatikana zaidi kwa wanyama kama Pigs na Ng'ombe,
Mleta mada ana Pork Allergy ambapo immune system yake kimakosa inakua inaidentify protein inayopatikana kwenye nyama ya Pork kua ni harmful kwake,ni issue ya Immune System.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…