Kila niki sign in inakataa


NewDawnTz

NewDawnTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
1,675
Likes
6
Points
0
NewDawnTz

NewDawnTz

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
1,675 6 0
Wandugu computer yangu sijui imekutwa na kapepo gani...

Kila nikisign in iwe ni yahoo, hotmail au gmail au hata skype inakataa kabisa. Nikadhani tatizo itakuwa ni iNTERNET explorer nikaweka Firefox lakini bado ngoma ile ile......

What is wrong and what should be done?
 

Forum statistics

Threads 1,236,424
Members 475,125
Posts 29,257,360