amanda cute
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 244
- 457
Najiuliza tuu hivi nini kilichopo akilini mwangu, maana kila napompata mwanaume namkifu mapema tuu baada ya kudo na mimi haswa napokua faragha nikakuta ni mvivu, hana mzigo wa haja, huwa namdharau sana hivi kwanini baadhi ya vijana wanakua walaini hivi? Yaani kabao kamoja tuu hoi kuendelea na round ingine inakua ndoto wanakua wabinafsi akimaliza tuu anageukia ukutani.