Mtoto wa kitaa
Senior Member
- Nov 7, 2012
- 149
- 17
Elimu yangu ni fomu six na kazi yangu ni mfanya biashara.Kwa nini utolewe mbavuni kila siku wewe???? Dogo unafanya kazi gani na umesoma kidogo angalau mpaka fomu six???? Ulishawahi kunuka (scandal) hapo unapoishi ambapo scandal inakutesa hapo kitaani???
Mtoto wa kitaa changamka bana unaniangusha.
ACHA UBAHILIIIII!!!!!!!!! BAHILI HAPATI MKE!!!!( Wahenga wakati wanatoa huo usemi hawakukurupuka, waliona enzi zao bahili wanaishi kwa upweke ndo wakaona watoe msemo kabisaaaa)
Elimu yangu ni fomu six na kazi yangu ni mfanya biashara.
tatizo sio ubaili lara, ni kwamba ata kunipa nafasi ya kuwa karibu nao wanatosa sijui ndo mikosi yenyewe.
JAKMuombe mungu atakuletea atakaye kukubali,usikate tamaa.