Kila mwanamke ninayemfuata

tatizo unaenda umepanic sana yale mambo hayaitaji papara suala la kovu sio shida tena ukija kwangu ndo litakalonivutia panga mistari shusha pumzi relax njoo uone kama ntakuakatalia
 
Hiyo id name yako tu ni noma.. ukiona hivyo hujapata yule wako ukimpata tu she will not disappoint you
 
Labda kwaajili ya ID yako mkuu
 
Nahisi unachagua sana, then unavamia watu ambao si level zako..zama za kutukanwa coz umemtongoza ni za kale sana. Mademu wako wengi but wife material ni wachache sana, so mwombe Mungu huku ukiwa umetuliza akili zako huku ukifanya mambo yako mengine
King' a adomaa. Hhawata Honda? Kamata fursa hyo
 
tatizo unaenda umepanic sana yale mambo hayaitaji papara suala la kovu sio shida tena ukija kwangu ndo litakalonivutia panga mistari shusha pumzi relax njoo uone kama ntakuakatalia

naona kama ushamkubalia vile
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…