Kila mwanamke ana side mbili

Kila mwanamke ana side mbili

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,028
Reaction score
52,505
2020 Ni mwaka wa maamuzi magumu, uzuri una baraka kama zote.

Kila mwanamke ana mwanaume mmoja yule anampeenda ila jamaa anakuwa na mashauzi kama yote, hataki hata kumsikia.

Na upande mwingine ana wanaume kibao wanampenda na kumtaka hataki hata kuwasikia. Sema wakati mwingine inabidi ujikaze kwa ajili ya maisha na watoto.

Niulize how does it feel kuolewa na mtu usiyempenda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It depends
Wengine hubadilika na kujikuta unampenda tena sana kuliko hata yule uliempenda mwanzo

Mwingine mambo yanakua ni yale yale Yan still humpendi hutamani hata kumuona maana unakuta umeolewa nae alafu jamaa anapenda papuchi balaa, unajikaza unampa ila hata hujisikii kugegedana nae ukimuona tu unajisikia kero unaweza ukashinda seblen hadi saa8 usiku ili tu ukiingia kitandani usikutane na mushkeli wa kuliwa papuchi


Anyways

Wanaume ni wachache wanawake wengiii‍♀️
 
Kuolewa na mtu usompenda ni mzigo aisee na muda ukifika lazima uutue ata kama ni miaka ngapi imepita
 
Mnaishia kulala mzungu wa kumi bora kukuche, usiku ukiingia unatamani mchana uchukuwe nafasi.option mkiwa ndani kila mtu na simu yake, huyu Jf, yule insta kusindikiza muda usonge.no baby anymore. That's how it feels
 
Hata mwanaume hesabia!

Hiyo baraka ya 'side1' M/Mungu alitunyima na kumruhusu shetani achukue mkondo wake kwenye eneo hilo.

Nilichokifanyia utafiti na kujiridhisha ni kwamba, mizani ya penzi huwa haibalance hata siku moja, ndiyo maana wanaozidiwa hufanywa watumwa wa ridhaa.

Ukiona unamshobokea mtu, elewa haujai kwenye kiganja cha mtima wake, hakupendi na unamlazimisha tu.

Likija hili la ukwasi na mavyeo, hizo ni machela za kubebea mapenzi mfu.

Mtu anadangwa na janaume chafuchafu kinuka mdomo na ana 'go' kwa ajili ya hayo mahela, sasa hilo siyo penzi ni kitu kingine!

Hii dunia Mungu angeliyawekea mapenzi frequency, yaani yasachi hadi yapate upendwapo, wallah wanadamu tungeinjoi sana duniani hapa, kupendana kutamu asikudanganye mtu!

Maana hakuna jambo lenye thamani kama mapenzi, hasa kwa wapendanao 50 kwa 50, asiwepo wa kumpunja mwenzake.

Miss bado upogo mama? Sijakuona Jf masiku kibao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaishia kulala mzungu wa kumi bora kukuche, usiku ukiingia unatamani mchana uchukuwe nafasi.option mkiwa ndani kila mtu na simu yake, huyu Jf, yule insta kusindikiza muda usonge.no baby anymore. That's how it feels
Miaka na miaka hali ndo inabaki kuwa hivi??..why usimwambie tu kuwa i don't feel you kila mtu afanye biashara zake au watoto??
 
Back
Top Bottom