We brotherhood tumekusanyika hapa kama kawaida yetu kukutana kila baada ya muda Fulani ..
Tukiwa tunajadliana haya na yale maongezi yanalenga mafanikio tu na jinsi gani akaunti zinavyoendelea kunona.. sare zinazovaliwa ni moja tu ..suti nyeusi na kofia za cowboy nyeusi zilizozungushiwa red ribbon na "fimbo maalum" ...anayesubiriwa ni His Majesty kwa ajili ya kutoa "maelekezo maalum".