nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
Kweli haukuwa fungu languMnaendeleaje? 😛
Leo ninaomba tuongelee juu ya KILA MTU NA FUNGU LAKE.
Mara kwa mara nikipita kwenye jukwaa hili kunakuwa na mada nyingi sana tofautitofauti. Wengine wanaleta mada hizo kutokana na miemko fulani ambapo ninaamini kwa namna moja au nyingine zinawaathiri baadhi ya watu kwa namna moja au nyingine.
Mfano mtu anapokuja na mada ya "Kurudiana na ex ni ulimbukeni wa hali ya juu." Kuna watu ambao waliachana na sasa wapo kwenye ndoa na upendo mkubwa ukitawala.
Kuna mada kama "Kuoa single mother..." , "Kuoa bikra..." nakadhalika.
Hapa ndugu zangu tunapaswa kufahamu kuwa kila mmoja na FUNGU LAKE. Kwa kuwa mimi siwezi kurudiana na ex basi ipitishwe kuwa kurudiana na ex ni ujinga. Hii inatokana na kuwa maisha yangu mimi hayawezi kufanana na ya mtu mwingine.
Hakuna haja ya kusikitika au kujiona mnyonge kuwa umeoa mtu mwenye mtoto au asiye bikra. Huyo aliyeoa hivyo, hilo ndilo FUNGU LAKE.
Ni sawa na mama ambaye anawajua vema watoto wake. Anajua Mwajuma nikimpa hiki atakifurahia, Asha nikimpa kile, kitamsumbua nakadhalika.
Tufurahi tukiwa hai kwa kuheshimu MAFUNGU YA WATU.
Nawasilisha.
Kwa fikra zangu ni kwamba kuna sababu nyingi ambazo zinaweza kumfanya mama wa kambo awe mbaya. Lakini ikumbukwe kuwa si wote ambao wanakuwa wabaya.Mimi huwa najiuliza...
Sisi wanaume ni Rahis sana KUOA Mwanamke mwenye mtoto/watoto na tukawapenda kwa moyo wote na kuwajali .
Lkn nyie wanawake ukiolewa una mtoto/watoto au huna, ili mradi umeolewa na MTU mwenye mtoto/watoto basi Utaishia kumnyanyasa huyo mtoto weeee.
Shida ninin?? Au ndo tuendelee kuamin ndio fungu lako
Ahaa kumbeHahah, kila siku ina fungu lake(siku saba za juma) Khantwe
kunywa kwanza chai siyo unaamka na matongotongo then unakimbilia JF! JF siyo Mama yako wala Baba yako, sawa?
Pumbaf unajua niko wapi sasa hivi au unadhani mimi kama wewe unalala mpaka saa mbili?kunywa kwanza chai siyo unaamka na matongotongo then unakimbilia JF! JF siyo Mama yako wala Baba yako, sawa?
Kwani nimekosea wapi hadi uandike maneno makali namna hii..?Mnaendeleaje? 😛
Leo ninaomba tuongelee juu ya KILA MTU NA FUNGU LAKE.
Mara kwa mara nikipita kwenye jukwaa hili kunakuwa na mada nyingi sana tofautitofauti. Wengine wanaleta mada hizo kutokana na miemko fulani ambapo ninaamini kwa namna moja au nyingine zinawaathiri baadhi ya watu kwa namna moja au nyingine.
Mfano mtu anapokuja na mada ya "Kurudiana na ex ni ulimbukeni wa hali ya juu." Kuna watu ambao waliachana na sasa wapo kwenye ndoa na upendo mkubwa ukitawala.
Kuna mada kama "Kuoa single mother..." , "Kuoa bikra..." nakadhalika.
Hapa ndugu zangu tunapaswa kufahamu kuwa kila mmoja na FUNGU LAKE. Kwa kuwa mimi siwezi kurudiana na ex basi ipitishwe kuwa kurudiana na ex ni ujinga. Hii inatokana na kuwa maisha yangu mimi hayawezi kufanana na ya mtu mwingine.
Hakuna haja ya kusikitika au kujiona mnyonge kuwa umeoa mtu mwenye mtoto au asiye bikra. Huyo aliyeoa hivyo, hilo ndilo FUNGU LAKE.
Ni sawa na mama ambaye anawajua vema watoto wake. Anajua Mwajuma nikimpa hiki atakifurahia, Asha nikimpa kile, kitamsumbua nakadhalika.
Tufurahi tukiwa hai kwa kuheshimu MAFUNGU YA WATU.
Nawasilisha.
Mkuu mnafahamiana?.Kwani nimekosea wapi hadi uandike maneno makali namna hii..?
Mwanamke kiguu na njia wewe fungu lako nimelikosa!
Umenitapakaza kwenye dimbwi la damu,nipo hoi bin taabani!
Au kwakuwa ulisema unajiskia kuua tena ndio maana ulisign mikataba ya kishetani..?
Toka ulivyonibadirikia dar es salaam usiku ule nilipata hofu kama ningelirudi na roho yangu!,na hakika hata wewe usingerudi nayo ningekuondosha kwa kono la malaika gibril ungerudi na salamu toka kuzimu!
NdioMkuu mnafahamiana?.