Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,623
Hahaha mkuu umetisha sanaKwani nimekosea wapi hadi uandike maneno makali namna hii..?
Mwanamke kiguu na njia wewe fungu lako nimelikosa!
Umenitapakaza kwenye dimbwi la damu,nipo hoi bin taabani!
Au kwakuwa ulisema unajiskia kuua tena ndio maana ulisign mikataba ya kishetani..?
Toka ulivyonibadirikia dar es salaam usiku ule nilipata hofu kama ningelirudi na roho yangu!,na hakika hata wewe usingerudi nayo ningekuondosha kwa kono la malaika gibril ungerudi na salamu toka kuzimu!
Sent using Jamii Forums mobile app




