Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,263
- 3,581
- Thread starter
- #21
Sawa nimekuelewa mkuuNilimaanisha shida ya usafiri,watu walikua wanasafiri baharini kwa miezi kibao.
Sawa nimekuelewa mkuuNilimaanisha shida ya usafiri,watu walikua wanasafiri baharini kwa miezi kibao.
Shida inapokuja bila taarifa utasema uliiwaza?Usiishi kwa kuziwaza shida
Sio kweli.Hakuna binadam aliye na shida hapa duniani kama mwanaume aliyeoa!
Vp MASHAKA, MAJALIWA, MWAMNYETO?