Kila mtu angekua kama mimi

Kila mtu angekua kama mimi

Nashukuru wote mnaonipongeza, kikubwa ni kua umri wangu ni 24, bado sijaanza kujitegemea kimaisha, nikianza kujitegemea ndo kipimo kizito zaidi ambacho naamini nitafaulu na kumpata mwenza/mke mwema kwa msaada wa Mungu
 
Utakaemuoa atakuwa na bahat ya kuzaliwa. Namsihi asiache kumtolea Mungu sadaka ya shukran ikiwezekana kila j2!
 
Mie namba 5 tu aisee nna vinyongo sijui lini ntavitapikaa nikimchukia mtu nataman afe hapo hapo
MUNGU NISAMEHE
 
Nashukuru wote mnaonipongeza, kikubwa ni kua umri wangu ni 24, bado sijaanza kujitegemea kimaisha, nikianza kujitegemea ndo kipimo kizito zaidi ambacho naamini nitafaulu na kumpata mwenza/mke mwema kwa msaada wa Mungu

Hujakutana na magume gume mjini usiombee
 
Hongera,ila Mwema halisi na Ubaya hakosi.
Haiwezekani kila mtu akawa kama wewe.
 
hiyo namba saba, wala usiwe proud.. ulikuwa na uhusiano na mtu ambaye hukuwa na malengo nae.... then ukapanga kumuacha, ukatumia hila za kijanja janja kumuacha...whichever way, ulimuumiza!!!
 
Back
Top Bottom