Kila mtu angekua kama mimi

Kila mtu angekua kama mimi

mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
1,603
Reaction score
871
Kuna muda huwa nakaa nakufikiria kama kila mtu angekua mimi ingekuaje?
1. Nimejijengea heshima mtaa ninao kaa kwa kutokua na historia chafu ya kutokua na uhusiano na mabinti wa watu.
2. Nimekua muaminifu katika mahusiano ambayo nimekua niko kwa vipindi tofauti, sijawahi ku cheat.
3. Nimekua nikienda kucheki afya mara kwa mara
4. Sijawahi kumuumiza msichana yoyote tho nimewahi kuumizwa.
5. Nimekua mtu wa kusamehe na sio mtu wa kisasi nilipo salitiwa na mpenzi wangu hadi ilipokua to much nikaachana nae for good.
6. Nina uhusiano mzuri wa kuheshimiana na my ex girlfriends, tukishauriana na kusaidiana.
7. Hili ndo kubwa zaidi ambalo I am proud of it nilishawahi kulileta hapa jukwaani kuhusu uhusiano wangu na binti flani ambae alikua na matarajio ya mimi kuwa mme wake na mwanamme wake wakwanza, me kwangu ilikua tofauti ilibidi nitafute njia rahisi na kumuacha bila kumuumiza na kumuharia usichana wake.
Kwa kweli I am proud of my self
#tuwe mifano bora katika jamii yetu
 
Oooooooh! Boy! You made me feel WORSE THAN I AM!!!!!!! Well since you are SUCCESSFUL, WELL BEHAVED ET AL I HAVE TO SAY HOW BAD I AM SO THAT LOOSERS LIKE ME MIGHT KNOW I HAVE THEIR BACK!!!!!!!!!!!

1. Mtaani naogopeka kwa kukaba ofa! Nikisogelea mtu bar anachomoa kiasi kwenye wallet na kukiweka kwenye shati. Kikiisha baaaaaaas.

2.Well i have cheated couple of times, not much to raise a concern but i wont lie since its KWARESMA! (Well dont get all BLAMY against me who knows what those loosers did behind my back! THESE ARE DANGEROUS TIMES TRUST IS A LOST VOCABULARY)

3. This 1, i will PASS for the good sake of society and younger generations.

4.Well i have hurt a significant number of PALS! I was hurt also along the process.

5. I COLLECTED ALL MY DEBTS!!!!!!! Revenge is never an option o me, its COMPULSORY!!!!!!!!

6. I HATE ALL MY EX's I wish them the worst.

Well I AM SORRY I HAVENT BEEN A LITTLE ANGEL BUT YOU CANT BLAME!!!!!!!! I JUST LIVED MY LIFE THE WAY IT WAS HANDED TO ME! You cant blame a sister for not being married with his first BF can you? I aint proud how i turned up to be but i dont blame me either!
 
hongera sana mtengwa. watu wote wangekuwa kama ww pengine kusingekuwa na vilio vya mapenzi.
 
Last edited by a moderator:

Lara 1 naamini kuna siku utakuja change, sometimes ujana ndo chanzo ya hayo.
But to be honest I sometime goes wrong, the good thing is that I turn back soon before things goes worse
 
hatuwezi kuwa kama wewe kwa sababu Uongo umepitiliza sana
 
Oooooooh! Boy! You made me feel WORSE THAN I AM!!!!!!! Well since you are SUCCESSFUL, WELL BEHAVED ET AL I HAVE TO SAY HOW BAD I AM SO THAT LOOSERS LIKE ME MIGHT KNOW I HAVE THEIR BACK!!!!!!!!!!!

1. Mtaani naogopeka kwa kukaba ofa! Nikisogelea mtu bar anachomoa kiasi kwenye wallet na kukiweka kwenye shati. Kikiisha baaaaaaas.

2.Well i have cheated couple of times, not much to raise a concern but i wont lie since its KWARESMA! (Well dont get all BLAMY against me who knows what those loosers did behind my back! THESE ARE DANGEROUS TIMES TRUST IS A LOST VOCABULARY)

3. This 1, i will PASS for the good sake of society and younger generations.

4.Well i have hurt a significant number of PALS! I was hurt also along the process.

5. I COLLECTED ALL MY DEBTS!!!!!!! Revenge is never an option o me, its COMPULSORY!!!!!!!!

6. I HATE ALL MY EX's I wish them the worst.

Well I AM SORRY I HAVENT BEEN A LITTLE ANGEL BUT YOU CANT BLAME!!!!!!!! I JUST LIVED MY LIFE THE WAY IT WAS HANDED TO ME! You cant blame a sister for not being married with his first BF can you? I aint proud how i turned up to be but i dont blame me either!

Nakupenda Lara1. yani no comment!
 
nobody is perfect...only God
that being said,tuorotheshe mapungufu pia:wink2:
 
Amini hujamtenda mwanamke yeyote tu, ila kutendwa au kusalitiwa ni siri yao wenyewe wadada
 
nakunyaa mavi kutoka niliko had kivukoni ikulu kwa jakaya,...utakua ume mix cha arusha na mavi ya kuku wewe
 
Dunia yote ingekuwa kama wewe ingekuwa ya mazuzu

Sent from Mchina
 
Mtu wa hivi ukute ana bonge la udhaifu ogopa sana watu wa hivi! Unaeza kuta mchafu au mwizi, haiwezekani ukawa ka Yesu hadi utake wote tuwe ka wewe

Sent from Mchina
hehehe unataka mtengwa ajisikie kutengwa...akisema ka kibaka hatutomtia kiberiti..asiogope
 
Last edited by a moderator:
Wengi wanaoponda hapa ni wale ambao, either wameshindwa kubaki njia kuu au ni watu wa kuwaumiza wengine
 
Back
Top Bottom