Kila mtu analilia mapenzi, akiyapata

Kila mtu analilia mapenzi, akiyapata

Ni kweli mkubwa, ukishakuwa na Girfriends/Boyfriends 4+ hna kila mtu anatabia yake, siku ya kwanza tu unaanza kumkosoa duu. Mapenzi ni uvumilive, ni vita,. So u have to fight hasa kwa kumshirikisha Mungu. Love is a process
 
Kwa ndoa ni WITO. Bila kuwa na wito hufiki mbali, kwa walio kwenye ndoa ni mashahidi.
 
 
Last edited by a moderator:
inategemea alipenda nn mfano ulimpenda alikuwamodo sasa ni tibwili lanini ndo maana una tupa kulee
 
inategemea mkuu...wengine ni raha sana...hadi sana...
 
duh...naona we tunaendana unapatikana wapi?@masai dada
 
Back
Top Bottom