Kila mtu analilia mapenzi, akiyapata

Kila mtu analilia mapenzi, akiyapata

Lipa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
229
Reaction score
28
Jamani kila mtu anayalilia mapenzi tena kwa nguvu, akiyapata wengi wao wanaanza kulalamika na kutaka kuyakimbia.

Je, ni sababu ya tamaa, utoto,kutojipanga au nini? Hebu toa sababu moja na eleza kati ya mwanamme na mwanamke ni yupi anayeongoza kwa kulalamikiwa na mwenza wake.
 
Mada zinginee muwe mnaletaa usiku....... Now tuna hitaji mada za kulefresh mind.....
 
Me nimelilia mapenzi we had sasa nimeamua niachane nayo mana yatanipa stress
 
kuingia kwenye mapenzi....kutoka.....kuingia tena ni kawaida katika mapenzi. Unaingia ukijeruhiwa unatoka na unajpanga kuingia tena maana mapenz yapo kwa ajiri yetu
 
watu tunaingia kwenye mahusiano tukiamini huyo uliyempata ndie anayekufaa baada ya muda unagundua mapungufu yake kama 100 hivi,nachoamini kila mtu ana wa kwake aliyempangiwa na Mungu so if the relationship does not work out ujue huyo sio wako
 
Mapenzi sio kitu kipya duniani ilianza na Adamu na Hawa.
 
Comparison" inaathiri mapenzi ya kizazi chetu. Kuonja kwingi.....! Mapungufu yanaonekana coz we've tested n' tested, kwa hiyo unakutana na mtu , unaanza kulinganisha na maex watano unaona huyu hana ub.oo/mbunye kama ya yule..huyu hana pesa kama yule..huyu yuko vile..!!
Tukubali mapungufu ya wenza wetu coz hata sisi tuna mapungufu mengi.
 
Katika mapenz usipo kuwa mvumilivu unaweza kutembea Na kila aina ya ke/me ila mengne sasa hayavumiliki duh!! Mapenz ya run dunia
 
Mimi nangoja nipatekwanza huyo mpenzi maana bado natafuta nikipata nitakuja na jibu. ImageUploadedByJamiiForums1409119148.148639.jpg
 
mapenzi ni mchezo mchafu

yaani vyovyote utakavyofanya lazima yakuzingue
muda mwingine unasema ngoja tu niwe na mtu lakini sitampenda

ukiingia nae tu ushamoenda alafu anakuja kukuacha
saa nyingine ni bora kuwaachia watoto wa form three
 
mapenzi ni kutendwa, mpendaji jiamini
Sharo ukiona unapendwa sana jua Una nyota ya ukimwi ...
 
Back
Top Bottom