mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,172
Aisee !!!! hebu mnielekeze wakuu wapi naweza enda lipia deni langu na familia yangu kiujumla,nimeshauza baadhi ya mazao yangu nadhani yafaa sasa niuonyeshe uzalendo wangu kwa taifa kwa kulikomboa na hii aibu ya madeni lukuki👅
Kalipe waje wazichote na hizo nchi ya wafu hii.