kila mtanzania anadaiwa shilingi 856,000

kila mtanzania anadaiwa shilingi 856,000

Kanina

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
277
Reaction score
81
Wadau, james mbatia anajadili vipaumbele vya bajeti 2015/16. Pateni uhondo....
 
Ananikosha huyu jamaa ni hazina tuitunze wadau
 
Mbatia ni mbunge wa ccm kupitia tawi lake la nccr mageuzi
 
Aisee !!!! hebu mnielekeze wakuu wapi naweza enda lipia deni langu na familia yangu kiujumla,nimeshauza baadhi ya mazao yangu nadhani yafaa sasa niuonyeshe uzalendo wangu kwa taifa kwa kulikomboa na hii aibu ya madeni lukuki👅
 
siogopi deni,kwanza hapa nilipo serikali inanidai zaidi ya tsh bilion 3.crdb wananidai zaid ya mil 900,bado nmb na bank of africa kote huko nadaiwa
 
Back
Top Bottom