War ForThe Freedom
Member
- Oct 31, 2017
- 26
- 35
Niko na miaka 2 tangu nimuache mpenzi wangu wa mwanzo, lakini baada ya hapo nashangaa kila mdada ninayemrushia kamba niwe nae anachomoa.
Sasa nimekua mpweke mpaka nahisi labda kumuacha yule msichana nilimuumiza sana akaniachia laana nisipate tena msichana mwingine.
Sasa nimekua mpweke mpaka nahisi labda kumuacha yule msichana nilimuumiza sana akaniachia laana nisipate tena msichana mwingine.