Mwandishi huyu ndio wale wanaitwa MAKANJANJA au rafiki yangu Dr Mwakyembe aliwahi kuwaita Bungeni kuwa ni UPE (uandishi pasipo Elimu).
Kwa wasijua maadili ya UANDISHI wengi wanaongozwa na USHABIKI ima wa kisiasa, kikabila au kiimani lakin pia anasukumwa na UBAGUZI na vitisho na dharau kwa jamii inayomsoma. jamii inawapasa kuwaogopa watu waandishi kama hawa kama wanavyo ogopa malaria.
Lula nasikitika sana kukwambia na kukukumbusha kuwa mTU MZIMA ATISHIWI NYAU. Nimekusoma vilivo na hoja zako dhaifu katika Gazeti la Raia Mwema.
Nakupa pole sana mwandishi lakin kumbuka DUA LA KUKU ...
Kuitakia Zanzibar heri wakati kama huu wa majonzi katu si uungwana
huyu mwandishi ni jiniasi. Ninauprint huu ujumbe wake na kuusambaza kila kona ya tanganyika halafu tuone matokeomwandishi huyu ndio wale wanaitwa makanjanja au rafiki yangu dr mwakyembe aliwahi kuwaita bungeni kuwa ni upe (uandishi pasipo elimu).
Kwa wasijua maadili ya uandishi wengi wanaongozwa na ushabiki ima wa kisiasa, kikabila au kiimani lakin pia anasukumwa na ubaguzi na vitisho na dharau kwa jamii inayomsoma. Jamii inawapasa kuwaogopa watu waandishi kama hawa kama wanavyo ogopa malaria.
Lula nasikitika sana kukwambia na kukukumbusha kuwa mtu mzima atishiwi nyau. Nimekusoma vilivo na hoja zako dhaifu katika gazeti la raia mwema.
Nakupa pole sana mwandishi lakin kumbuka dua la kuku ...
mwinyi waziri wa afyamwalimu julius nyerere amekuwa akisifiwa kwa kila kitu, hata mimi namsifia kwa yale mazuri hasa kunisomesha bure. Lakini ni mara chache sana kusikia mtu akizungumzia udhaifu wake. Kwa maoni yangu mwalimu alikuwa na:-
- udhaifu wa kuwapendelea wachache. Kuunganisha nchi mbili zenye idadi tofauti ya wananchi kuwa na uwakilishi na sauti sawa bila kujali wengi wape. Suala hili limefanya zanzibar kuwa na sauti kubwa bila sababu yoyote. Nchi kama marekani "electoral votes" zinaendana na idadi ya wananchi wa jimbo husika. Hata tanzania bara (tanganyika) ingawa wabunge wanachaguliwa kutoka majimboni lakini idadi ya wabunge kwa kila mkoa inatofautiana kulingana na idadi ya watu. Ikumbukwe kwamba aliendelea na udhaifu huo mpaka wakati wa usuluhishi wa vita vya burundi alipong'ang'ania kuwa pamoja na kuwa wahutu ni wengi lakini watusi walio wachache wawe na sauti mpaka suala hilo likaja kutatuliwa na mandela alipoingia kuwa msuluhishi. Mandela aliwambia watusi waziwazi kuwa wasiiyumbishe nchi kwa uchache wao. Matokeo yake ndio ukawepo mkataba wa arusha.
- udhaifu wa kujipendela yeye mwenyewe, (sio kwa mali bali kwa madaraka). Aliamua kuwa wizara zote za tanzania bara ziwe ndani ya muungano. Hii hakuifanyika kwa bahati mbaya. Alijua kuwa yeye ndie angekuwa rais wa muungano, kwa hiyo hakutaka kuachia wizara zisizokuwa za muungano kwa bara ziongozwe na mtu mwingine, akaziweka zote kwenye muungano. Akasahau (maana yeye kama sehemu ya viongozi wale wa zamani hakujua kwamba iko siku ataondoka madarakani) kwamba iko siku mzanzibar angeweza kuongoza serikali ya muungano. Angeweza kabisa kuweka ndani ya masharti ya muungano kuwa ikiwa rais wa muungano atatoka zanzibar basi serikali yote ya muungano ijumuishe wizara zote za zanzibar na mtanganyika aongoze wizara zisizo za muungano upande wa tanzania bara. Matokeo yake ndio tunayoyaona kuwa mzanzibar anaongoza wizara inayohudumuia bara tu kwa kuwa wizara zote za bara ziko ndani ya muungano. Kwa mantiki hiyo mzanzibar anaruhusiwa kuajiriwa ndani ya serikali upande wa bara kwa kuwa hiyo ni serikali ya muungano lakini mbara (mtanganyika) hawezi kuajiriwa ndani ya serikali ya zanzibar kwa kuwa sio serikali ya muungano na yeye sio mzanzibar. Kisa hofu ya kumezwa na wengi.
mambo haya naamini kama yangeliamliwa vinginevyo basi tungekuwa na mtafaruku kuhusu muungano kama tulionao sasa.
Mwandishi huyu ndio wale wanaitwa MAKANJANJA au rafiki yangu Dr Mwakyembe aliwahi kuwaita Bungeni kuwa ni UPE (uandishi pasipo Elimu).
Kwa wasijua maadili ya UANDISHI wengi wanaongozwa na USHABIKI ima wa kisiasa, kikabila au kiimani lakin pia anasukumwa na UBAGUZI na vitisho na dharau kwa jamii inayomsoma. jamii inawapasa kuwaogopa watu waandishi kama hawa kama wanavyo ogopa malaria.
Lula nasikitika sana kukwambia na kukukumbusha kuwa mTU MZIMA ATISHIWI NYAU. Nimekusoma vilivo na hoja zako dhaifu katika Gazeti la Raia Mwema.
Nakupa pole sana mwandishi lakin kumbuka DUA LA KUKU ...
Kweli ,hivi muungano ukifa huko Tanganyika mtafanya kitu gani <yaani mtaendelea na serikali ya Muungano iliyokuwepo au mtaunda nyingine.
Lula kawa Kanjanja? Makubwa. Ni kiboko. Tena ilitoka kabla ya rasimu ya katiba mpay. Hongera sana kanjana Lula. Mwache Barubaru aliye bora akukashifu lakini ajue kuwa wakibaki wao watauana kama kuku.
Mbona nyinyi huku Tanganyika ndo mumeshaanza kuuwana?